Ha ha haaaaaa.
Huyo angekua keshakufa muhuni wa mjini.
HAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA JAMANI Judgement
umenichekeshaje sina la kuongea hapa kwakwkaaakwaaaaaa
Na mkong'oto juu! Tena tusingeshanga hapa tungekua tunawish pole za mara Erickb52 kapigwa na Chocs !
Mara Madame B kamkung'uta Ben Saanane!
Mamndenyi kamtoa manundu chama!
Arushaone kakonyolewa bega na Lady doctor !
shansarie kamng'oa jino kiwatengu!
The secretary kamzabua vibao Bishanga!
Dena Amsi kamfunga kamba Mr Rocky!
Auntie DEMBA kamkataza Ankal Kaizer asiende kazini !
Ingekua mambo msagurano!
Ila na wewe ukimkamatia mahala pake unamtandika ipasavyoKwakua ndiyo ingekua kanuni , Kikombe nisingikiepuka! Ningekinywa tu!
Au tungesikia Angel Nylon anamuuguza mshana jr , baada kumpa henzerani za kutosha!
Shemeji, yaani ninavyompenda Ben Saanane ningekuwa namtegeshea tu ili anikung'ute yeye.
Na mkong'oto juu! Tena tusingeshanga hapa tungekua tunawish pole za mara Erickb52 kapigwa na Chocs !
Mara Madame B kamkung'uta Ben Saanane!
Mamndenyi kamtoa manundu chama!
Arushaone kakonyolewa bega na Lady doctor !
shansarie kamng'oa jino kiwatengu!
The secretary kamzabua vibao Bishanga!
Dena Amsi kamfunga kamba Mr Rocky!
Auntie DEMBA kamkataza Ankal Kaizer asiende kazini !
Ingekua mambo msagurano!
Hahahahaaaa bro umenivunja mbafu aisee lolNa mkong'oto juu! Tena tusingeshanga hapa tungekua tunawish pole za mara Erickb52 kapigwa na Chocs !
Mara Madame B kamkung'uta Ben Saanane!
Mamndenyi kamtoa manundu chama!
Arushaone kakonyolewa bega na Lady doctor !
shansarie kamng'oa jino kiwatengu!
The secretary kamzabua vibao Bishanga!
Dena Amsi kamfunga kamba Mr Rocky!
Auntie DEMBA kamkataza Ankal Kaizer asiende kazini !
Ingekua mambo msagurano!
Mjini umbeya ni dili
Copy Arushaone
Haya sasa! Kama sio hii Srade , hii siri kama hua unampaga kisago tungeijua lini ?