Wanawake waonyesheni mabinti zenu baba zao, mnatupa wakati mgumu sana

Na nyie wanaume mkihabarishwa mimba zenu msijenge mazingira ya kuwatesa wabeba mimba hadi kufikia huku pa kukataa kuwaonyesha watoto baba zao

Unakuta mtu kakataa mimba tena kwa viapo vikubwaaaa na dharau kwamba "....hiyo mimba sio yangu wala usirudie kunitajaaa, kwanza siwezi zaa na mwanamke kama wewe....." sa-mwanamke atafanyaje

Wanawake wengine wanalazimika kukataa kusema kwa kuhofia kuwaumiza watoto wao
Uko sawa kabisa wanaume wakati mwingine tunazingua sana , mbaya zaidi unakuta matunzo hamna na uwezo mtu anao.
Mdada wa watu kalea mimba mwenyewe, tena kwa masimango makubwa sana, kalea mtoto kwa tabu peke ake peke ake...leo mtoto kawa mtu...kuna jamaa anataka kuteleza tu...hamna kitu kama hicho....huo utakatifu tutaukuta mbinguni tu...

Enyi wanawake nawaambia ikitokea kuna mwanaume kakufanyia hivyo...mwambie huyo mtoto baba yake alikufa....au alipotea na hakuwahi kurudi tena au mwambie tu kabisa baba yako alinikataa akakimbia..so sijui yuko wapi...
 
Mara mia umwambie hata baba yake alipotea hujui alipo na umemtafuta bila mafanikio kuliko kumnyamazia kimnya mtoto una mwaribu kabisa..
 
Kutokumuambia ukweli kuhusu baba yake kunaongeza chuki motoni Kwa mama Bora ajue tu
 
Sidhani kama yuko mzazi yeyote chini ya jua anyemtakia mwanae mabaya, isipokuwa tu kwa wenye matatizo.

Kabla hatujawaongelea hawa watoto tuanze kwanza na kuwaheal hawa akina mama kabla ya kuanza kuwabebesha mzigo mwingine wa lawama. Tutakuwa hatuwasaidii.
Kabisa mama,watutese afu waseme tufanye nn sijui....acha twende ivoivo,maumivumaumivu
 
Na nyie wanaume mkihabarishwa mimba zenu msijenge mazingira ya kuwatesa wabeba mimba hadi kufikia huku pa kukataa kuwaonyesha watoto baba zao

Unakuta mtu kakataa mimba tena kwa viapo vikubwaaaa na dharau kwamba "....hiyo mimba sio yangu wala usirudie kunitajaaa, kwanza siwezi zaa na mwanamke kama wewe....." sa-mwanamke atafanyaje

Wanawake wengine wanalazimika kukataa kusema kwa kuhofia kuwaumiza watoto wao
Kuna mnyaturu fulani, alikuwa ananiambia kwamba yeye anahitaji kuwa na mtoto, hataki ndoa wala mume, cha ajabu baada ya muda akaanza kunisumbua, eti anataka awe mchepuko wangu wakati amejazwa tumbo na aliyemjaza hana time naye.
 
Wacha we!!
Umejiuliza machungu waliosababishiwa hadi kufikia hatua hiyo? Au umeamua kudeal na matokeo ya tatizo!!
Pia kuna sehemu kasema, binti aoneshwe baba yake hata kama alimkataa!, kwamba mama atalaaniwa asipofanya hivyo!.
Jamani hebu tujaribu kuwa rational.....
 
Back
Top Bottom