tena ikiwezekana hata uchungu sitaki kuusikia...na visu vilivyorahisishwa siku hizi.Kwa hiyo wewe shosti unapendelea zaidi kisu?
kujifungua kawaida ni kama kujifunga bomu aisee nyie oneni tu mtoto mnaishia kubeba.
kuna kaukweli ndani yake...ila mie mtoto mwingine nala kisu sitaki balaaa tena la kukamua!!Ukijifungua kawaida kuna kama vikitu vinajiachia ukeni mwanamke anaanza ku experience orgasm za kufa mtu, kwa hiyo wanaozaa na kisu waacheni waendelee watajiju
mkuu ya nne niuongo mkubwa sana, huu ndo uzushi na ukweli ni kuwa akishajifumgua kunakuwa zaidi ya mwanzo!
halafu ongezea na sababu nyingine kongosho:Sababu za kupasuliwa:-
1. kuna sababu mbali mbali kitabibu siwezi elezea zote hapa.
2. Uoga uliopitiliza kiasi cha mtu kushindwa kuzaa natural
3. Kukwepa aibu ya matumizi ya kimtandao
4. Kwenda na wakati, hasa kwa ajili ya kutunza shamba la bibi lisiharibiwe.
Ila ni ukweli, kisu ni hasara, mambo haya wezi kuwa kama zamani. Ni kama ufa usiozibika.
halafu ongezea na sababu nyingine kongosho:
5.Assurance-wapo kina mama ,hasa ma single ,wenye uwezo na ambao wameamua kuzaa mtoto mmoja na kulea wenyewe,hawa huwa hawataki ku take chance,wanapanga tarehe,wanalamba kisu na kukabidhiwa kichanga,99% assurance. Kuzaa natural kuna risk nyingi mfano kondo kujikunja,presha kushuka,mtoto kutanguliza miguu/kiuno etc.
yote kwa yote mshono huendelea kumwasha mzazi periodically hata baada ya miaka kumi.
Asabaya uchungu siyo wakati wa mpito wa mtoto katika mlango wa raha na karaha bali ni kabla hata process azijaanza..........so kwa yule anaye zaa kwa kisu na kwa kawaida wote lazima wahisi uchungu kabla ya kujifungua.........you get me
kisu pia ni hatari unaweza pitiliza kulala. mama yangu alijifungua watoto wawili kwa operation acha tu mateso aliyekuwa nayapata wakati wa mvua, baridi analia kama mtoto.kujifungua kawaida ni kama kujifunga bomu aisee nyie oneni tu mtoto mnaishia kubeba.