Wanawake wapendelea zaidi kujifungua kwa kisu than natural way?

Wanawake wapendelea zaidi kujifungua kwa kisu than natural way?

Mungu aninusuru na kisu.....kwanza kwa kupasuliwa hivi huwa ni kuzaa au kutolewa mtoto?
 
Loh sidhani kama ni kweli tunapenda ,inatokea katika mazingira fulani inabidi kisu kifanye kazi
 
Ukijifungua kawaida kuna kama vikitu vinajiachia ukeni mwanamke anaanza ku experience orgasm za kufa mtu, kwa hiyo wanaozaa na kisu waacheni waendelee watajiju
 
Hospitali inayoongoza kwa kutumbua matumbo ya wanawake ni Agha Khan Dar. Wee mpeleke mjamzito pale sijui kasikia uchungu, ukirudi kesho unakuta washamtumbua. Hawacheleweshi.
BTW, kitabibu inasemekana mtoto anayezaliwa kwa CS ana advantage ya kuwa normal, akili...n.k kwani hakutani na ile kashkash ya kuvutwavutwa au kubanwabanwa au kunywa maji ya kwenye mji wa uzazi. Yaani anazaliwa timely.
 
kujifungua kawaida ni kama kujifunga bomu aisee nyie oneni tu mtoto mnaishia kubeba.

unaogopa kuongezwa njia na kuirudishia bila ngazi,na wale wanafunzi kila mara wanakuja kuchungulia kama tayari..kwakweli.
 
Ukijifungua kawaida kuna kama vikitu vinajiachia ukeni mwanamke anaanza ku experience orgasm za kufa mtu, kwa hiyo wanaozaa na kisu waacheni waendelee watajiju
kuna kaukweli ndani yake...ila mie mtoto mwingine nala kisu sitaki balaaa tena la kukamua!!
 
ulishawahi shuhudia msamba unaochanika?

Kuna uzi uliletwa hapa unasema mwanamke hupoteza bikira yake completely baada ya kujifungua kwa njia ya kawaida.

mkuu ya nne niuongo mkubwa sana, huu ndo uzushi na ukweli ni kuwa akishajifumgua kunakuwa zaidi ya mwanzo!
 
huo ni uwoga na mawazo potofu tu.but ukwel natural ni mpango mzima hakuna kinachobadlka unarud unakuwa km mwanzo
 
Sababu za kupasuliwa:-
1. kuna sababu mbali mbali kitabibu siwezi elezea zote hapa.
2. Uoga uliopitiliza kiasi cha mtu kushindwa kuzaa natural
3. Kukwepa aibu ya matumizi ya kimtandao
4. Kwenda na wakati, hasa kwa ajili ya kutunza shamba la bibi lisiharibiwe.

Ila ni ukweli, kisu ni hasara, mambo haya wezi kuwa kama zamani. Ni kama ufa usiozibika.
halafu ongezea na sababu nyingine kongosho:
5.Assurance-wapo kina mama ,hasa ma single ,wenye uwezo na ambao wameamua kuzaa mtoto mmoja na kulea wenyewe,hawa huwa hawataki ku take chance,wanapanga tarehe,wanalamba kisu na kukabidhiwa kichanga,99% assurance. Kuzaa natural kuna risk nyingi mfano kondo kujikunja,presha kushuka,mtoto kutanguliza miguu/kiuno etc.
yote kwa yote mshono huendelea kumwasha mzazi periodically hata baada ya miaka kumi.
 
Hapo mejifunza jambo
 
Asabaya uchungu siyo wakati wa mpito wa mtoto katika mlango wa raha na karaha bali ni kabla hata process azijaanza..........so kwa yule anaye zaa kwa kisu na kwa kawaida wote lazima wahisi uchungu kabla ya kujifungua.........you get me
 
Get your point . . . Kwamba wanaokimbilia kisu hawajakwepa maumivu ya uchungu
 
Inawezekana ikawa kweli kwa mtazamo tofauti.... Wengi wao ni maumbile yanakuwa madogo...
 
kujifungua kawaida ni kama kujifunga bomu aisee nyie oneni tu mtoto mnaishia kubeba.
kisu pia ni hatari unaweza pitiliza kulala. mama yangu alijifungua watoto wawili kwa operation acha tu mateso aliyekuwa nayapata wakati wa mvua, baridi analia kama mtoto.
 
ila kote kugumu jamani ni kuomba tu mungu ujifungue salama kwa njia yoyte.
 
Kila njia ina risk, isipokuwa risk zinazidiana. Kwa kisu risk ni nyingi zaidi na hakuna alternative ya kuzikabili. Kwa njia ya kawaida risk zake ni rahisi kuzikabili ila sio mara zote huwa rahisi. Nawashauri wanawake wasipende sana kujifungua kwa kisu kwani hiki ni kilema tosha! Fanya mazoezi sana kipindi cha ujauzito na kula chakula bora. Zaidi sana kuna madaktari hodari ktk kuzalisha bana!Nilishuhudia my sister alikuwa mtu wa visu mimba 3, ya nne alizaa kawaida, mtoto kilo 5, na hakuchanika popote! By that time alikuwa IMTU!
 
Back
Top Bottom