[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dota nawe utakuwa mlemavu nini!![emoji85][emoji85]
Wafupi walitushukia sisahau.
Ila mwanaume unakuwa mfupi ili ututafutie sababu au[emoji134][emoji134]
Wasitufanyie hivyo jamani, wajitahidi tu warefuke.
[emoji23][emoji23]jipe moyo tu shooBasi nami nitarefuka tu.
Kuna operation za visigino siku hizi, mchina noma. Unarefuka.Watu "wafupi" tunadhalilika hivihivi!Hahahahahaaaa
Urefu una faida zake ila watu ndo wanachukulia mtu mrefu anatakiwa kuwa na uwezo mkubwa kuliko watu wenye urefu wa kawaida..Kweli wengine wanaurefu usio na faida....
am better here
Sasa hii ndiyo sababu. Sikulaumu tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza ingiza mikono na ukapiga makofi.
Mmh! we hii lugha yako hatarHongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi unahisi hvyo kweli dah...utakuwa umenikosea sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hii ndiyo sababu. Sikulaumu tena[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Godoro ni ft 6 sawa na sm 186 kama sikosei. Kitanda ni ngumu kuzidi hapo ukitengeneza kirefu zaidi itabidi ukatoe oda godoro kiwandani.2m ndio urefu standard wa kitanda...labda kama uliuziwa vitanda vya boarding school
6ft is equivalent to 183cm...Godoro ni ft 6 sawa na sm 186 kama sikosei. Kitanda ni ngumu kuzidi hapo ukitengeneza kirefu zaidi itabidi ukatoe oda godoro kiwandani.
Uzuri mtu ukilala hunyooki kama umekufa. So unatosha vizuri.
Nb: mimi nina ft 6.1
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Naona warefu tumepewa promo, bana, Mimi issue ni kwenye viatu huwa nakasirika unapenda kiatu ukijaribu hakitoshiii, ukibahatika kupata sometimes mpk bei inaongezeka,(size 42 ya kike),
Ila tunaonekana warefu sababu kuna wafupi and vice versa .hivo tunategemeana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha okayImportant note.
Tall girls are for tall guys, short girls are for tall guys also, and short guys can have each other[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Rula
Haahaaaaaaaa