Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dota nawe utakuwa mlemavu nini!![emoji85][emoji85]

Wafupi walitushukia sisahau.
Ila mwanaume unakuwa mfupi ili ututafutie sababu au[emoji134][emoji134]
Wasitufanyie hivyo jamani, wajitahidi tu warefuke.

Eti ili atafute sababu! 😀
 
Sisi tulio warefu tumelipokea tangazo lako na tutalitendea kazi kwa wakti muafaka...
 
Kuna demu mmoja mrefu kisha mweusi anauza pharmacy fulani maeneo ya kunduchi mtongani, ananipa ashki majnuni sana nikimuona. Ila anaonekana ana bwawa.
 
2m ndio urefu standard wa kitanda...labda kama uliuziwa vitanda vya boarding school
Godoro ni ft 6 sawa na sm 186 kama sikosei. Kitanda ni ngumu kuzidi hapo ukitengeneza kirefu zaidi itabidi ukatoe oda godoro kiwandani.

Uzuri mtu ukilala hunyooki kama umekufa. So unatosha vizuri.

Nb: mimi nina ft 6.1

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
6ft is equivalent to 183cm...

Isipokuwa kibongo bongo hiyo 2m ndio huwa wanaita 6ft, si kwenye kitanda tu hata madirisha n.k
 
Back
Top Bottom