Wanawake Warefu (Tall Women)

Mm Me tall Nina kimo cha 181Cm or futi 5'11 napenda Ke tall mwezangu ila nina babati ya kudondokewa na wafupi
 
Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Ni mfupi , anataka Sifa za Kijinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…