kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Mtoa mada Wordsworth ni kuwa bado hujapata hubby sababu ya urefu sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaaaaaaaa
Hahaaaaa
Nina kama marafik wawili wanatumia jina la Saguda.
Yani ni wafupi balaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh hii ndiyo JF😁😁
Usijal nitakupeleka kiwandani kabisaNaona warefu tumepewa promo, bana, Mimi issue ni kwenye viatu huwa nakasirika unapenda kiatu ukijaribu hakitoshiii, ukibahatika kupata sometimes mpk bei inaongezeka,(size 42 ya kike),
Ila tunaonekana warefu sababu kuna wafupi and vice versa .hivo tunategemeana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana haujanielewa.Hizo alama "..." zinapaswa kukufahamisha nimeandika kumlenga nani!Kuna operation za visigino siku hizi, mchina noma. Unarefuka.
Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
We ni mrefu aunt ukisimama na mtu mfupiHaiwezekani shangazi yako niwe mfupi alafu wewe uwe mrefu.
Hivyo tupambane tu na uandunje wetu.
Na wewe unaangukia kule?[emoji39]Tunaangukia kuleeee[emoji85][emoji85][emoji85]
Ndio.Na wewe unaangukia kule?[emoji39]
Labda mbilikimo.[emoji134]We ni mrefu aunt ukisimama na mtu mfupi
AiseeeLabda mbilikimo.[emoji134]
Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app