Wanawake Warefu (Tall Women)

mwanamke inatakiwa uwe size ya kati(usiwe tolu na usiwe kafupi)inapendeza zaidi.

lakini ukishakua mrefu kama ngongoti nina uhakika hips huna yaani kila kitu,miguu,mikono,kiuno nk. yaani kila kitu kimenyooka kama 1.

sasa wewe unakua ushapoteza sifa ya wanawake wanaovutia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INATAKIWA KWA MUJIBU WA NAAAAAANI?
 
Wafupi tuna kazi kweli kweli, ngoja tuwe wasoma comment tu, lkn muandike fupi fupi kama sisi tulivyo tusipate taabu ya kusoma ndefuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…