Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Important note.
Tall girls are for tall guys, short girls are for tall guys also, and short guys can have each other[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
👽👽👽👽
Wanawake wafupi tupo wengi then stuli ni chache
Warefu wamepishwa waendelee na uzi wao[emoji23]Wanawake wafupi tupo wengi then stuli ni chache
[emoji16][emoji16]naona Kabsaaa hapa Kuna Watu hatutaonekana
Kabisa Aseee...kina sisi hapa inabidi tulog out 😂😂😂
Kabisa Aseee...kina sisi hapa inabidi tulog out [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukisema hayo huku unajua kama umeumbwa au naww ni mrefu sm190+ lakin akili na busara zako ni mm190-Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe pia mrefu my kwani si umerefukia kwenda chiniWafupi tunasoma comments tu.
mwanamke inatakiwa uwe size ya kati(usiwe tolu na usiwe kafupi)inapendeza zaidi.Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Hahah we mkuu siyo mtu mzuri!!!Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
INATAKIWA KWA MUJIBU WA NAAAAAANI?mwanamke inatakiwa uwe size ya kati(usiwe tolu na usiwe kafupi)inapendeza zaidi.
lakini ukishakua mrefu kama ngongoti nina uhakika hips huna yaani kila kitu,miguu,mikono,kiuno nk. yaani kila kitu kimenyooka kama 1.
sasa wewe unakua ushapoteza sifa ya wanawake wanaovutia...
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mjibu wa wanaume nikiwemo mimiINATAKIWA KWA MUJIBU WA NAAAAAANI?
Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app