Wanawake Warefu (Tall Women)

duuuuhhh jamani 5'9" ni mtu mrefu wewe unatania kweli kwamba Tanzania wanawake wenye 5'9" ni wachache Tanzania dada yangu are yiu real serious?nenda kanda ya ziwa huko mwanamke mwenye below 5'10" unamtafuta kwa torch kuwa serious sometimes dada yangu mimi hapa kwetu ndio mtu mfupi kwetu nina 6'4" jamani messi tumuita little man huku ana 5'9" dada kuwa serious kidogo baasi wewe sio mrefu bali mwanamke mwenye avarage weight sio mrefu sio mfupi
 
Kwani urefu unaanzia sm ngapi??? Naona mleta mada kasema ana 170sm wakati mimi nina 170 sm na najiona mfupi, au urefu hutegemea na ulionao pia maana kaskazini wengi warefu???

Few years from now you may wish you should have started today...
 
Usipate taabu mrefu mwenzio nipo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapenda kuwa na mwanaume wa aina yako au mfupi? Wanawake wengi hupenda kuwa na wanaume wa kimo kama changu(warefu) wewe unasemaje juu ya hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…