Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona hapa mmepewa sifa kedekedeWatu "wafupi" tunadhalilika hivihivi!Hahahahahaaaa
Ukimkasirisha unapaswa kuchunga ugoko wako.Kwa sababu anakuwa karibu nao anaweza akakuvunjilia mbali.Chunga very!mbona hapa mmepewa sifa kedekede
Nipeni sifa za wanawake wafupi!
Ukimkasirisha unapaswa kuchunga ugoko wako.Kwa sababu anakuwa karibu nao anaweza akakuvunjilia mbali.Chunga very!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ukimkasirisha unapaswa kuchunga ugoko wako.Kwa sababu anakuwa karibu nao anaweza akakuvunjilia mbali.Chunga very!
Mkuu,believe it or don't! Ukimkasirisha utapata suluba sana.Koh!Kooooh![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu nilikuwa naangalia movie iliyomuhusisha Dennis Rodman muda si mrefu nikaikumbuka avatar yako.Ingawa ya kwako is a lil' bit funny!😀😀😛😀
Usijisifu sana mrefu uwashukuru wafupi kwa kufanya uonekane mrefu la sivyo tusingekujua, wafupi wenzangu oyeeee[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wafupi utatujua tu, tumeshapanic tayari.
Mkuu waache tu, tufurahie mishe zetu.
Pierre kwa ufupi anatisha mkuu, hadi kile kipaza sauti cha Dom kinamzidi?
SijakutangaziaMkuu Wordsworth lipia tangazo.
We're not dessertsila sio watamu.....but kwa vigezo vyangu......
Lakini katika hali halisi wanawake wafupi ndiyo hupatana na sisi wanaume warefu kama mkojo wa asubuhi.Nyie ni assistant women[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
mnavutia tuu....ila bado nasisitiza sio watamu....kwa vigezo vyangu....We're not desserts
Wanawake wanaopendwa na wanaoliwa sana ni wafupi, hebu ongezea upande huu piaHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
😂😂😂 haya bana.mnavutia tuu....ila bado nasisitiza sio watamu....kwa vigezo vyangu....