Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

Urefu unachangamoto kadhaa wa kadhaa.
1. Nikienda Safari nahangaika saana kulala maana 99% ya lodge na guest house Zina vitanda vya kawaida. Kwa hiyo lazima nilale diagonally.
2. Hata kwa wanaume, kupata suruali,viatu Ni changamoto, shati la mikono mirefu Sasa ndo kimbembe haswa kulipata.
3. Sijui wanawake wanachukuliaje urefu, ktk maisha yangu ilishawahi tokea wanawake wanataka niwazalishe tu, halafu watalea wao. Kisa na mkasa anahitaji mtoto wake awe mrefu. For what

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake tunachukia wanaume wafupii, moja ya kigezo wakati nataka kuolewa ilikua urefu, i thanks God alinipa mrefu mwenzangu yaani akinikumbatia tu mi hooi[emoji5][emoji5] watu wafupi mtusamehe hatuna maana ya kuwadhihaki kwa namna yoyote ni tunabadilishana tu mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume warefu wanapenda sana mwanamke mfupi nandoa nyingi ni hivyo mkatae mpende warefu kwa warefu ni wachache wanaoana.
Wanaume wafupi wanaenda kwa wanawake warefu hapa jirani mpende msipende huo ndio ukweli.
Huonagi mtu aliyeoa anafumaniwa na mdada mfupi ndio starehe yamutu murefu acheni hizooo.
 
Wachaa wee ndo mnavyojipa moyo hivyo!!!!! Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume warefu wanapenda sana mwanamke mfupi nandoa nyingi ni hivyo mkatae mpende warefu kwa warefu ni wachache wanaoana.
Wanaume wafupi wanaenda kwa wanawake warefu hapa jirani mpende msipende huo ndio ukweli.
Huonagi mtu aliyeoa anafumaniwa na mdada mfupi ndio starehe yamutu murefu acheni hizooo.
Mule mule, na mara nyingi wanawake warefu hupata waume wafupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha unamuangalia kwa jicho Moja. Ye anahisi unamdharau ,Kumbe we unaona uvivu kumpa full attention hahahahahaha!!!!! Watusamehe tu Kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahaahahah mimi huwa sitaki hata wanisemeshe. Kwani hawaoni wafupi wenzao bhana kupeana lawama tuu

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Back
Top Bottom