Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Wanawake tunachukia wanaume wafupii, moja ya kigezo wakati nataka kuolewa ilikua urefu, i thanks God alinipa mrefu mwenzangu yaani akinikumbatia tu mi hooi[emoji5][emoji5] watu wafupi mtusamehe hatuna maana ya kuwadhihaki kwa namna yoyote ni tunabadilishana tu mawazoUrefu unachangamoto kadhaa wa kadhaa.
1. Nikienda Safari nahangaika saana kulala maana 99% ya lodge na guest house Zina vitanda vya kawaida. Kwa hiyo lazima nilale diagonally.
2. Hata kwa wanaume, kupata suruali,viatu Ni changamoto, shati la mikono mirefu Sasa ndo kimbembe haswa kulipata.
3. Sijui wanawake wanachukuliaje urefu, ktk maisha yangu ilishawahi tokea wanawake wanataka niwazalishe tu, halafu watalea wao. Kisa na mkasa anahitaji mtoto wake awe mrefu. For what
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app