Wanawake Warefu (Tall Women)

Ubishi kidogo anachukulia umemdharau kwa sababu ya ufupi wake.

Bifu la mwanamke mfupi lazima majirani wasikie, atapayuka mpaka utakoma.
Umenikumbusha nilikuwa na kaboyfriend kafupi kafupi , usipopokea simu tuu anajua urefu unakupa kiburi. Ukitembea njiani ikiwa kama umebaki nyuma anasema unaona aibu kutembea naye.
Akigomba sasa yeye si ni mfupi nikimwangalia kwa chini anasema namwangalia kwa dharau yaani nampandisha na kumshusha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 

Hahaha!

Tunateseka jamani. Mdogo wangu ni mfupi kuliko mimi, ila wanawake anaotoka nao mimi siwezi aisee, maana ni matolu hasa.

Halafu wako poa tu.
 
Nilivyoona likes zako nikakumbuka[emoji23][emoji23].
Kwani hamuoni size zenu lakini? Halafu kwa kung'ang'ania hamjambo

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Lile dongo mpaka leo ninalo, lilinipa fundisho ya kuchagua size yangu.
 
warefu vs wafupi;utafiti bado unaendelea wa kukuza/kufupisha urefu,nyanja zingine wamefanikiwa.
 
Hahaha!

Tunateseka jamani. Mdogo wangu ni mfupi kuliko mimi, ila wanawake anaotoka nao mimi siwezi aisee, maana ni matolu hasa.

Halafu wako poa tu.
Kumbe wewe ni kiandunje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Wana gubu hatarii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha hahahha hahahha nimecheka jamani.
Kwa hiyo siku hizi ukiona aliyekuzidi hata haaujisumbui?

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Sema ni umaskini tu, ukiwa na hela una-compete. Hizi one off business hazichagui.

Ila long run projects, matolu na mabonge hapana, nendeni kwa matolu na wenzenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…