Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

Yaani hata sisi tukipita watu wanadhani sisi mapacha, sema tu rangi tumetofautiana meenzangu ni super black na mimi ni super white, hao watoto sasa ni fireee

Urefu raha jamani ukienda mahali huna haja ya kujitambulisha[emoji5][emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!Ninyi ni warefu hadi mnaiona kesho kwa urahisi.Hats mimi mwenye ft 6 nawapisha muende zenu.
 
Back
Top Bottom