Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Kitanda huwa hakitoshi. Lazima ununue kitanda King size. Ambacho huwa Ni 8 x 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitanda huwa hakitoshi. Lazima ununue kitanda King size. Ambacho huwa Ni 8 x 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahaa! Mkuu acha hizo utaharibu uzi wa watu.
Naunga Mkono hoja asilimia 100 ,,,Kwa utafiti wanawake warefu wembamba na chini kina kirefu na kubana
Hainaga maji ni kavu na salama
Utafiti binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.., umenikaribia urefu ujue.Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
😂😂😂😂😂 khaaa,wafupi kazi tunayoHongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya ni pale unapokuwa mfupi na hela huna[emoji848][emoji848][emoji848]Sifa mpunga tu hayo mengine ni addjust tu.
We ata uwe mrefu kama mnazi halafu hauna mpunga unaonekana boya tu ..
Mmmhhhh wivu sasa huo hakyanani [emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli hata mimi sijawahi, huwa nawaona kama walemavu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Umenikumbusha nilikuwa na kaboyfriend kafupi kafupi , usipopokea simu tuu anajua urefu unakupa kiburi. Ukitembea njiani ikiwa kama umebaki nyuma anasema unaona aibu kutembea naye.
Akigomba sasa yeye si ni mfupi nikimwangalia kwa chini anasema namwangalia kwa dharau yaani nampandisha na kumshusha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmmhhhh wivu sasa huo hakyanani [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yaaani wewe hapana jamani....Wafupi tunasoma comments tu.
😂😂Watu wafupi utatujua tu, tumeshapanic tayari.
Mkuu waache tu, tufurahie mishe zetu.