Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Punguza bangi hakyananiiiMawigi yanawawasha hakiyanani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza bangi hakyananiiiMawigi yanawawasha hakiyanani!!
Bangi situmii mimi akiiPunguza bangi hakyananiii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Usiniambie umerefukia ukubwani[emoji134][emoji134]
Akii unatumia nini yenye inakutoa kwa duniaBangi situmii mimi akii
Unajua mnachoongea sielewi hadi muda huu maana mie ni mfupi lakini sijawahi kutongoza mwanamke yeyote awe mrefu ama mfupi akakataa.Girl friend wangu ni mrefu haswa lakini ananipenda na kuniheshimu sana.Umenikumbusha nilikuwa na kaboyfriend kafupi kafupi , usipopokea simu tuu anajua urefu unakupa kiburi. Ukitembea njiani ikiwa kama umebaki nyuma anasema unaona aibu kutembea naye.
Akigomba sasa yeye si ni mfupi nikimwangalia kwa chini anasema namwangalia kwa dharau yaani nampandisha na kumshusha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Dona ma"harage" akiiAkii unatumia nini yenye inakutoa kwa dunia
AkiiiiiiDona ma"harage" akii
Tusome tuuu. Mie hata 5"2 sifikiiiiii. Na sijawahi tamani kuwa mrefu.😃😃
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Important note.
Tall girls are for tall guys, short girls are for tall guys also, and short guys can have each other[emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Unachura?Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
[emoji3][emoji3][emoji3]Unajidanganya urefu wa kimo unaendana na upeo wa akili?
You are not so smart either then.[emoji16][emoji16][emoji16]
Nitapunguza akiiAkiiiiii
Punguza kukula maharage
HayaNitapunguza akii
Nitakuwa nakula harage moja tu
Sasa wee jamaa umeenda extra mile... Kimo hakina chochote cha kufanya na wisdom ya mtu... Either short or tall subject to someone's personality...Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
hongea sana kwa kujijua jinsi ulivyoHabari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Sasa haujaelewa nini mkuu?Unajua mnachoongea sielewi hadi muda huu maana mie ni mfupi lakini sijawahi kutongoza mwanamke yeyote awe mrefu ama mfupi akakataa.Girl friend wangu ni mrefu haswa lakini ananipenda na kuniheshimu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app