Wanawake Warefu (Tall Women)

Wanawake Warefu (Tall Women)

Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani we ni mdada? Kwa wanaume we ni mfupi sana tu lakini kwa wanawake mi ni mrefu tu tena sana
 
Aisee napenda wanawake warefu mimi japo mwenyewe kiandunje nahisi nimerogwa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
No hujarogwa bana[emoji3] [emoji3] ,M/Mungu alikaa akaumba handsome boy mnazareth Kwa kimo hicho, tumshukuru yeye. Mimi napenda wanaume wafupiii ,so nadhani tutaendana mkuu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No hujarogwa bana[emoji3] [emoji3] ,M/Mungu alikaa akaumba handsome boy mnazareth Kwa kimo hicho, tumshukuru yeye. Mimi napenda wanaume wafupiii ,so nadhani tutaendana mkuu[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nikionaga post zako moyo Wangu unaenda mbio uwiih[emoji23][emoji23][emoji23]kuna wengine hawanitaki eti mie andunje [emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom