Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mia mia [emoji110]Kwa niaba ya wanawake warefu wote wa visiwani NAUNGA MKONO HOJA.
Japo hawajanituma ni kwa sababu tuu watu warefu huwa hatuna majungu.[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa, safi sana unajikubali mkuu, ntakua nakuficha kwenye pochi kama vipi[emoji3] [emoji3]Hahaha utakuwa unaniekea hata ngazi pembeni kuepusha usumbufu wakati wa kiss
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umerahisisha zaidi ili tuwakomeshe wale wenye husda na roho za kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa, safi sana unajikubali mkuu, ntakua nakuficha kwenye pochi kama vipi[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] ,watakoma kwakweliiUtakuwa umerahisisha zaidi ili tuwakomeshe wale wenye husda na roho za kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
WoooiiiiiiMie sikaagi kwa viti virefuuu
Yaan kaka nahisi hunizidi Mimi...nimekumiss had basi halafu siku nyingi sijakuona humu
Ni kweli Dadake Shughuli za hapa na pale. ..ila nimefurahi kuona uko poa kabisa...Sisi ni ndugu tusipotezane sana....Yaan kaka nahisi hunizidi Mimi...nimekumiss had basi halafu siku nyingi sijakuona humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kbsaa,, mwanamke mrefu ni mzuri sana,, Licha ya yote uliyoeleza hapo mwanamke mrefu ananipa heshima kubwa popote,,Hana hira wala majungu,,,,Nimekuwa adicted nao sana licha ya mm kuwa mfupi.😀Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Mimi pia nimefurahi kukuona ...tupo pamoja kaka akeNi kweli Dadake Shughuli za hapa na pale. ..ila nimefurahi kuona uko poa kabisa...Sisi ni ndugu tusipotezane sana....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwani we ni mdada? Kwa wanaume we ni mfupi sana tu lakini kwa wanawake mi ni mrefu tu tena sana
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'9+ (176cm) na hii nimepimwa nikiwa sijavaa chochote miguuni. Nikivaa kiatu chochote au hata ndala, moja kwa moja nakuwa 5'10+. Na nikivaa high heels nakuwa 6'0+.
Sababu kuu ilionifanya niwe mrefu ni "genetics", wazazi wangu wote ni warefu ingawa sio sana. Pia chakula nilichopatiwa nilivokuwa mdogo hasa hasa protein iliyonowezesha kukua mpaka kufikia kimo changu halisi.
Urefu una raha zake kwasababu, watu wanakuheshimu hata kama hawakufahamu vizuri. Wanakuona una busara na unaweza kuwa kiongozi. Pia unaonekana kwa urahisi zaidi kwenye umati wa watu na ukivaa nguo zinakukaa.
Urefu pia una shida zake kama vile, kupata nguo na viatu ni kazi kuliko wanawake wenye maumbo ya kawaida. Nguo hazitoshi na ukikuta inayokutosha mara nyingi kiuno (sana sana kwa suruali) kinakuwa kikubwa. Viatu ndo hata siongei vile vya kidada dada mara nyingi ni vidogo sana na mpaka kuja kupata vinavyonitosha na bei inapanda. Kingine ni kwamba sio kila siku mtu unapenda kuoneka kuna wakati unataka uwe "low profile" lakini hii haiwezekani. Kingine ni kwamba kila mtu akikuona ana penda kutoa maoni yake. Utasikia mara ooo hupati mume, au urefu wako umezidi au kwanini usiwe model hatakama haupendelei hiyo fani.
Hata hivyo napendelea kuwa mrefu na nina pendelea urefu wangu ingawa nilivokuwa mdogo niliuchukia sana. Lakini pia ningekuwa na uwezo wakuubadilisha ningependa kuongezeka nifikie 180cm au zaidi.
Asanteni. Nakaribisha mawazo yenu.
Hongera mama kuwa mrefu ni baraka, na ufupi ni laana mfano ni [emoji350] wa dodoma kichwa kinakua jirani na tumbo kitu kinachopelekea ubongo kuathirika na joto la mavi
Sent using Jamii Forums mobile app