Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

Wanawake/Wasichana tuwe makini sana

Kurudiana au kukubali wito wa kuonana na mtu mliyeachana huwa ni kosa kubwa mno kiufundi.

Si kwa wanawake tu bali hata wanaume hukutana na matukio.
 
anyways niko 50/50 na hii story #chai si chai
emoji23.png
.

NIMENUKUU KAMA ILIVO

Wewe unahisije, kwan kila story lazima details zote ziwepo , ww jua tuu alikuja kumtafuta, mm na ww hatujui n baada ya mda gani

Ina maana ushasahau kitu hata wewe umeandika ukionesha wasiwasi katika uzi 🤨🤨🤨
 
Sijasoma yote lakini niwaambie tu wanawake wa kileo muache utapeli mmekuwa matapeli sana .....wajin** nyinyi..
 
Nimekutana nayo kwenye mtandao wa instagram hii

Huenda alipata alichostahili sababu hatujui story ya upande mwingine wa mwanaume wake ( Ex Wake )
Huwa nawaambia watu kwamba ipo hatari kubwa sana kuhukumu bila kusikiliza hadithi ya upande wa pili. Ni kweli kitendo cha huyu jamaa si cha kiungwana lakini bado upo ulazima wa kumpa nafasi naye ajieleze ili kutoa a fair and just judgment.

In law we are saying, you can not condemn a man without giving him/her a hearing.

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ex unamrudia kisa nini?!. Mistake ya Dada ni kukubali kurudi knowing kuwa alicheat yeye but regardless Maumivu ya Mapenzi yamepelekea the level of stress, anxiety and depression kuongezeka.

Wahusika wengi don't recover na hawajipi mda wa kupona. Pia promotion of vawulence imezidi sanaa. Aisee Mtu akicheat unaweka pembeni, ya nini kujitesa na kupoteza mda kwa Mtu asie sahihi??!. There is no excuse for cheating and neither is for Vawulence.

Mechi hapo ni 50/50. Mwanamke akiroga, Mwanaume anaroga pia, yani hii ngoma hatari.
 
Mwannamke unaepiga mitungi hadi unazima una hatari kubwaa or else,,jamaa Yako awe mstaarabu tu. Maana njia zote zake ukiwa tungi
 
Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Yaani ukimaliza kumuua lazima na wewe utaanza kuitafuta nafsi yako, bora umfunge
 
Napata ladha ya vitu vingi sana kwenye hichi kinywaji ..... swali gesti au Lodge hawaruhusu watu wa jinsia moja zaidi ya moja mfano wanaume wawili na dem moja au vaisvesa
 
Dada akikaza anampoteza kabisa huyo ex wake, maana ushahidi upo
 
Kuna kipengele umeacha alilewa bia kubwa tano na K vant pia
Hapo ndo alijiroga alijifanya anamkomesha ex mwishowe kakomeshwa yeye ila I swear mwanaume atakaenibaka kupiga picha na kurusha kwenye mitandao nikishindwa kumuua,ntamfunga maisha ,na nikishindwa namroga ntaenda hata msumbiji aseeh sijawahi roga mtu Ila ntajifunzia kwake...
Nitajifunza uganga na uganguzi kwa ajili yako.
 
Hii itakuwa ni chai, timeline haijakaa sawa...
Kafanyiwa ushenzi wote huo jana kiasi akawa hajitambui, kapelekwa hospitali na kufanyiwa vipimo vilivyoonesha hawezi kuzaa tena, karecover na kuanza kupiga simu n.k n.k vyote hivi ni katika muda wa jana na leo [emoji56][emoji56]
Huyu si anatuona humu sote watoto!
 
Vipi kuhusu yule binti aliyekula zaidi ya 900k ya jamaa gesti, halafu kakutwa anachakatwa mbususu na mshkaji?

Au ndo huyo mdada aliyetobolewa 0713?
 
Back
Top Bottom