Wanawake wasio katika mahusiano imara ndio wanazungumzia sana siku ya wapendanao

Hili nalo mkalitazame.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Wangi hawana hata hayo yanayo legalega, single as bit
 
Wengine wanafichwa kama bhange
Maisha yangu sijawahi kuwa na wapenzi wengi kwa wakati mmoja, na sina hata mtu mmoja niliyemficha asione status zangu katika contacts zangu.

Napenda amani, hivyo naishi maisha safi ya kimahusiano na uwazi. Hata yeye anajua, yuko peke yake.
 
Wewe unaweza ukawa una-date na mwanaume mmoja tu huna michepuko, ila huyo mwanaume wako ana wadada kama 10 hivi kawapanga, wote ana-sex nao kwa muda tofauti, au kama sivyo unaweza kukuta huyo mwanaume wako anachukulia wewe ni wa kupita (kupiga na kusepa) au yuko na wewe kwasababu anapopataka, ashatongoza akakataliwa, so Yuko na wewe sababu ameweza kukupata wewe
Maisha haya Nifah
 
Unafikiri mimi ni mjinga hadi nijitoe kwa mwanaume wa hovyo?

Namjua vyema, nampenda sana na naamini katika kila kitu chake.
 
Angalia tu hata kwenye contact list yako.

Wanaopost sana status kuhusu valentines ni wale wasiojulikana bwana zao. Walioolewa na wale wenye mahusiano hai, hawajishughulishi sana.
Kwa hiyo tufanyeje?
 
Unafikiri mimi ni mjinga hadi nijitoe kwa mwanaume wa hovyo?

Namjua vyema, nampenda sana na naamini katika kila kitu chake.
Sio mchezo hii comment iprintiwe alafu ifanyiwe lamination kabisa
 
Unafikiri mimi ni mjinga hadi nijitoe kwa mwanaume wa hovyo?

Namjua vyema, nampenda sana na naamini katika kila kitu chake.
Last time ulishauri nitumie JF app, niliweka lakini shida ya PM iko pale pale.

Mbaya zaidi inaonyesha alienitumia Pm lakini haifunguki, inaandika tu, open messenger, kisha connecting...

Nimeomba msaada kwa mods wamechuna.
 
Back
Top Bottom