LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani.
Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae Hana makovu makovu au maukurutu katikati ya mapaja.
Tatizo Ni Nini? HII ishu huwa inanikata sana STIMU Na nikigundua mwanamke yupo hivyo huwa namaliza zoezi hapo hapo Na ili kumfanya asijisikie vibaya huwa ninatengeneza dharula Kisha Nampa nauli arudi kwao/ kwake.
Wahanga wakubwa wenye tatizo hili Ni ;
1. Wanawake wanene
2. Wanawake weupe
3. Kama akiwa mnene plus mweupe Hali huwa Hatari Zaidi.
Dada zangu Sababu kubwa ya tatizo hili Ni vyakula mnavyo kula Na vipodozi mnavyo tumia.
1. Acheni Kula chips Mayai
2. Acheni Kula chips Kuku broiler Na soda
3. Kuleni mlo kamili
4. Achaneni na matumizi ya vipodozi vyenye kemikali .
5 Acheni Kula michemsho ya n'gombe...
CHA MWISHO: WANAWAKE TUMIENI SABUNI YA DETTOL KUOGEA. MTAKUJA KUNISHUKURU