Wanawake wasio kuwa Na makovu/ weusi Kati Kati ya mapaja hatarini kutoweka

Wanawake wasio kuwa Na makovu/ weusi Kati Kati ya mapaja hatarini kutoweka

I agree with you but nimeshawahi kuwa na mademu kutoka ushuani Ni wanene but wasafi.
Wa ushuani hawatembei kwa mguu mkuu!

Unajua ule weusi unatokana na msuguano wakati anachanja mbuga huko karikakoo, mbagala, gongo la mboto nk
 
Hebu dadavua vzr...kuna
1)Natural colour nyeusi ya mapajan ambayo ht wanaume wanayo mpk kwene..mbupu zenu....black and soft ht ukipaka mafuta inang'aa...

2)Na kuna rangi nyeusi ile unajua kbs huyu hii sio yake..mayb anajichubua hlf huko ndn ni htr..km liugonjwa liliwah pita

3)Na kuna wale wenye wanapitiwaga na mapere..marashes...na yanatisha ht kama kapona yale .madoa ni disaster
...
We unamaanisha kipi hapo ..au hupend weuzi wowote[emoji56]....

Hapa usichanganye ugonjwa na natural....
Umesahau kumtag jamaa yako
 
Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani.

Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae Hana makovu makovu au maukurutu katikati ya mapaja.

Tatizo Ni Nini? HII ishu huwa inanikata sana STIMU Na nikigundua mwanamke yupo hivyo huwa namaliza zoezi hapo hapo Na ili kumfanya asijisikie vibaya huwa ninatengeneza dharula Kisha Nampa nauli arudi kwao/ kwake.

Wahanga wakubwa wenye tatizo hili Ni ;

1. Wanawake wanene

2. Wanawake weupe

3. Kama akiwa mnene plus mweupe Hali huwa Hatari Zaidi.

Dada zangu Sababu kubwa ya tatizo hili Ni vyakula mnavyo kula Na vipodozi mnavyo tumia.

1. Acheni Kula chips Mayai
2. Acheni Kula chips Kuku broiler Na soda



3. Kuleni mlo kamili

4. Achaneni na matumizi ya vipodozi vyenye kemikali .

5 Acheni Kula michemsho ya n'gombe...


CHA MWISHO: WANAWAKE TUMIENI SABUNI YA DETTOL KUOGEA. MTAKUJA KUNISHUKURU

Tafuta hela
 
mxxxxieeeu.

Acha kujaribu ku justify utamaji wa picha za hovyo.

Mwanamke ukimuangalia tu unaweza kujua nini cha ku expect.

A thick woman definitely anapata friction na hii friction ndio inayosababisha weusi kwenye mapaja.

Kwa hiyo hapo chagua wanawake wembamba weusi uache kisingizio cha kutumiwa picha za uchi.
Naomba picha ya paja lako.
 
Dude, you better go for thigh-gap women and not chubbies.
 
Back
Top Bottom