Wanawake wasio kuwa Na makovu/ weusi Kati Kati ya mapaja hatarini kutoweka

Kwahiyo sisi wenye weusi kwenye mapaja tupambane na hali zetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapa hapa bongo zipo halafu cha kushangaza vijijini wanawake wengi hawana tatizo Hilo. Hapo Tu kisarawe rural hukutani Na mwanamke mwenye tatizo Hilo kama analo basi anaishi Dar huyo
Wanapambana na uso na kope na wigi ila hawazingatii KM za nyeti na utunzaji wa sehemu ya mwili iliyobaki.
 
Mimi huwa ninajipendea vimbau mbau
 
Kuna super star wa bongo muvi nilitaka kula alipovua tu my gooooodhhh nikamwambia avae tu ,alinichukia mpaka leo

USSR
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Nani huyo Mkuu??.Mtaje.
 
Kuna wimbi la vitambi, kuumwa tumbo kwenye siku zao na tarehe za siku kubadilika. Haya hayataisha. Ni rahisi ngamia kupita tundu la sindano kuliko mwanamke kuacha chipsi broiler na chipsi yai la kisasa.
Ukitaka mwanamke aache chips mwambie zitamfanya awe Na kipara au aote ndevu
 
Mapungufu mengine hayavumiliki
Bas tutakoma,,itafikia kipindi mwanaume mwenye pesa atamtukana na kumchambua kwa kila kitu mwanamke.Ila kumbukeni tunawazaa ivoivo na mapungufu yetu
 
Acha uasherati wa kutumiwa picha za uchi.
 
Kwa Hali hii ya makovu/ukurutu wacha nitumiwe Tu hizo picha aisee maana Hakuna jinsi
Hebu dadavua vzr...kuna
1)Natural colour nyeusi ya mapajan ambayo ht wanaume wanayo mpk kwene..mbupu zenu....black and soft ht ukipaka mafuta inang'aa...

2)Na kuna rangi nyeusi ile unajua kbs huyu hii sio yake..mayb anajichubua hlf huko ndn ni htr..km liugonjwa liliwah pita

3)Na kuna wale wenye wanapitiwaga na mapere..marashes...na yanatisha ht kama kapona yale .madoa ni disaster
...
We unamaanisha kipi hapo ..au hupend weuzi wowote[emoji56]....

Hapa usichanganye ugonjwa na natural....
 
No 2 Na 3 hasa hasa number 3
 
Picha tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…