Wanawake wasio na kucha miguuni!

Wanawake wasio na kucha miguuni!

hili ndo jibu, thread closed.......loh!!!




unamuwekea vya bandia
Jana-Nails3.jpg

mwanamke matunzo kaka...hakuna mwanamke mbaya duniani..wewe muwezeshe tu uone kama lundega hajaanza kumfata...pesa sio mchezo ...inafanya barafu kuwa moto
 
Wewe unaangalia kucha?, ebo angalia ile kitu katikati ya mapaja.
 
Wengi wanakuwa walikulia vijijini..wakaliwa na funza mpaka vidole vikatoka...that is according to my mum.

Mama alinambia wadada wasio na kucha BK hawana soko ...nadhani ni kwa kuwa wazuri ni wengi hivyo mchujo unakuwa mkali. Lol.
 
duh cjawah kuwaza hli na cjawah kukumbana na kidume kinachojali kuhusu kucha za mabint, any way kila mtu na vionjo vyake.
 
kwa hiyo ww madem wote huwa unawachunguza kucha zao tu,we mkareee,kama hutakuwa mchawi cjui lazima kucha nzuri ndo utakuwa ugonjwa wako unaokufanya umpende dem
 
kucha??????????

kongosho unashangaa kucha, kuna watu wanapendea nywele za kwapa. ile movie ya boomerang eddie murphy alikuwa anapenda feet. mwanamke hata akiwa mzuri vp akiwa na mguu mbaya anamuacha
 
Me ntaamini hiyo ni kazi ya Muumbaji na kama kuna kitu unafeel kutoka moyoni naamini kucha sio kigezo,nobody is perfect.
 
Back
Top Bottom