Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kuna baadhi ya dada zetu wamesoma na wanaelimu nzuri tu. Lakini wasomi wakike jamani wanaringa sana na kujiona wao ndiyo kila kitu na dharau za kutosha.
Wengi wao wanaona wao ndiyo bora mbele ya mwanaume lakini hata huko maofisini wapejipa majina yao wakijiita mafemenisti mh jamani ni balaa tupu.
Mbaya zaidi wanabagua sana wanaume wanaohitaji kufunga nao ndoa lakini pia hata ukiwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi kudadekti utaipata ya moto.
Mahaba yenyewe zero tu halafu ujuwaji mwingi kwa kweli mimi wananikwaza sana. Jua la jioni likifika wanasema mwanaume yoyote yule aje tu aniowe nyooo! kula chuma mpaka useme.
Soma Pia: Hawa ndio wanawake wetu wasomi, bado hatuelewi nini wanataka
Nawaombeni wadada wasomi tumieni elimu zenu pia kwa mendeleo ya kujenga familia zetu na ndoa zilizobora na sio kuleta mafarakano na shida kwa wanaume zenu.