Wanawake wasomi punguzeni kuringa na dharau kuna fursa mtazipoteza na baadae kujutia

Kwani Hao wanawake wasomi wanapatikana wapi? Mimi nilivyokuwa nasoma nilikuwa nawaona wengi tu vyuoni lakini toka nimemaliza sijawahi kuwaona hata njiani kupishana, labda wamepeperushwa na upepo wako sayari nyengine, Nina hamu kupata mwanamke msomi anaejielewa nifanye nae maisha lakini naona kama haitowezekana kwa dunia hii kumpata.
 
FEMINISM imetuharibia watu
 
πŸ˜„ nikajua unaongelea issue za maana kumbe mambo ya kudinyana wawe wepesi ama nn πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…