Wanawake wataka wanaume zaidi ya mmoja

I think ni kuhalalisha..................mbona tayari maisha hayo yapo

Kwani kuna tofauti gani na mwanamke aliyeolewa na ana uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine???????
 


Complementing; And most important the rules governing............................
 
aamue tu kuwa malaya atakuwa huru sana ktk huo mkakati wake
 
I think ni kuhalalisha..................mbona tayari maisha hayo yapo

Kwani kuna tofauti gani na mwanamke aliyeolewa na ana uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine???????

great thinker unanidai kinywaji.
 

Nadhani mambo yote yanawezekana kukubwa ni socilization tu.
 

Nadhani huu mchakato wa katiba ungeangalia kulihusha hili...
 
aste aste mkubwa..ni mama zetu hao..wanahitaji staha!
 
Kwa nini mwanamke akiwa na uhusiano na mwanaume zaidi ya mmoja anaitwa malaya na mwanaume mwenye uhusiano na wanawake lukuki haitwi malaya?
 
Mfalme wa Swazi na Mwingira wa Tanzania
 
Sawa tunakubali lakini na mimba abebe mwanaume sasa!!Yaani hii sera yao ya 50/50 wanaisimamia vibaya hawa watu aisee!!
 
No comment
afu ukiwa mjamzito, wamme wote 6 wanatunza mimba.
Vipi kuhusu kubemenda mtoto?
 
Nataka kuoa wanaume wawili!
Sifa
1: Kila mwanaume awe na nyumba yake
2: Nitawanunulia baskeli, kwani magari ni kukaribisha UNZK
3: Kazi yangu kuzaa tu, kila mwanaume atunze mtoto wake (nitazaa wawili tu)
4: Zamu itakuwa week week!
5: Kwenye mambo ya kiuchumi wanapaswa kushirikiana kama partners with shares of 24.5% each, of course nitabaki na 51%

Interested guys, send ur application humu humu!
 
Kuanzia Tarehe 1/1/2012 WOTE NI MALAYA.
Kwa hiyo kama una mademu wawili wewe ni MALAYA tu, sawa na Demu akiwa na Njemba mbili.

Kwa nini mwanamke akiwa na uhusiano na mwanaume zaidi ya mmoja anaitwa malaya na mwanaume mwenye uhusiano na wanawake lukuki haitwi malaya?
 

kaunga,yani mwanaume awe na nyumba yake halafu aje kubanana kwako na mwanaume mwingine?huwezi pata!kajipange upya!kanuni hapa mmiliki lazima uwe na mali na wamilikiwa makapuku!watakuja kwako kuboresha maisha yao!"utawowa" hata 50 ukitaka bila kujali jinsia yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…