nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,342
- 3,885
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao kujiona wanawake, huwezi kukuta shoga yupo kijiwe kimoja na wanaume kamili huyu utamkuta yuko kwa wanawake. Hivi mnaaonaje na nyie mkawafukuza kila wanapowafuata ili waache hii tabia?