Wanawake watengeni mashoga waache tabia yao chafu

Wanawake watengeni mashoga waache tabia yao chafu

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,342
Reaction score
3,885
Wanawake mimi nawaheshimu sana lakini katika mnanikasirisha sana. Wanaume wanaojihusisha na matendo ya kishoga mara nyingi marafiki zao ni wanawake hawa wanakao nao na hivyo kuwapelekea na wao kujiona wanawake, huwezi kukuta shoga yupo kijiwe kimoja na wanaume kamili huyu utamkuta yuko kwa wanawake. Hivi mnaaonaje na nyie mkawafukuza kila wanapowafuata ili waache hii tabia?
 
Acha watu wawe. . .

Kwasababu wewe unawachukia haina maana kila mtu ana hisia kama zako, wala haina maana watabadilika.

Hating is BAD!!
 
Acha watu wawe. . .

Kwasababu wewe unawachukia haina maana kila mtu ana hisia kama zako, wala haina maana watabadilika.

Hating is BAD!!

Hapana hawa watu wanachefua yaani kuzidi kuwalealea ndo maana wanazidi kuwa wengi. Habari yako lakini
 
Hapana hawa watu wanachefua yaani kuzidi kuwalealea ndo maana wanazidi kuwa wengi. Habari yako lakini

Hata wanaume mnaojifanya wanaume baadhi yenu mna/wana chefua vile vile na hamna anaewatenga. Hauna haja ya kuwakubali, wewe waache tu waishi maisha yao.

Fresh kabisa. . . Kwako?
 
Kweli sijui wanasiri gani hao na wanawake.
 
Tena Hawa mashoga nibasi tuu tabia zao lakini wanakua na roho nzuri sana.
 
Hata wanaume mnaojifanya wanaume baadhi yenu mna/wana chefua vile vile na hamna anaewatenga. Hauna haja ya kuwakubali, wewe waache tu waishi maisha yao.

Fresh kabisa. . . Kwako?

Mi mzima ingawa kahoma kalikuwa kanaleta matatizo. Ujue hawa wakiachwa waendelee jamii yote itaharibika
 
Mi mzima ingawa kahoma kalikuwa kanaleta matatizo. Ujue hawa wakiachwa waendelee jamii yote itaharibika

Iharibike mara ngapi? Hata wakipotea wote leo bado jamii itakua imeharibika.

Ohhh pole. Feeling any better?
 
No comment, hadi jumanne ijayo.
Kuna kitu nachunguza kuhusu hili.
 
Nyie wanaume mngeacha kuwatumia si wasingekuwepo labda?! Mbona unatusukumizia tatizo?
 
Iharibike mara ngapi? Hata wakipotea wote leo bado jamii itakua imeharibika.

Ohhh pole. Feeling any better?

Now i'm feeling better. Lakini mimi naona tusiendelee kuicha ikazidi kuharibika
 
Nyie wanaume mngeacha kuwatumia si wasingekuwepo labda?! Mbona unatusukumizia tatizo?

Wakiona jamii imewakataa hawatawafuata wanaume tena lakini wao wanaona nyie ndio kimbilio lao
 
Ntonye ushawahi kaa na mshoga akakueleza alianzaje..ukiacha yule wa jf
 
Basi waambie wanaume wenzako wawanyime huduma.

Hawa wakiisha acha hii tabia ni mwanaume gani atawafuata ujue mwanaume ni sawa na fisi anaenda pale aonapo mzoga asipo uona anaenda zake, sasa waache kwanza wao na nyie mkisaidia katika kuwafukuza kwenye vijiwe vyenu
 
Back
Top Bottom