Acha watu wawe. . .
Kwasababu wewe unawachukia haina maana kila mtu ana hisia kama zako, wala haina maana watabadilika.
Hating is BAD!!
Hapana hawa watu wanachefua yaani kuzidi kuwalealea ndo maana wanazidi kuwa wengi. Habari yako lakini
Kweli sijui wanasiri gani hao na wanawake.
Hata wanaume mnaojifanya wanaume baadhi yenu mna/wana chefua vile vile na hamna anaewatenga. Hauna haja ya kuwakubali, wewe waache tu waishi maisha yao.
Fresh kabisa. . . Kwako?
Mi mzima ingawa kahoma kalikuwa kanaleta matatizo. Ujue hawa wakiachwa waendelee jamii yote itaharibika
Kweli mara nyingi wanakuwa watu wa watu.Tena Hawa mashoga nibasi tuu tabia zao lakini wanakua na roho nzuri sana.
Now i'm feeling better. Lakini mimi naona tusiendelee kuicha ikazidi kuharibika
Hapana hawa watu wanachefua yaani kuzidi kuwalealea ndo maana wanazidi kuwa wengi. Habari yako lakini
Basi waambie wanaume wenzako wawanyime huduma.