The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Shetani anatandikwa bakora noma sanaWaumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko, tukio hilo limetokea kwenye Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet nchini Kenya ambapo katika kuwatoa mapepo wachafu waumini hao, mchungaji aliwatandika viboko na kushindwa kuvumilia maumivu.
Inaelezwa baada ya uchungu wa viboko kuzidi wanawake hao walikimbia na kwenda kutoa taarifa polisi, huku mchungaji huyo na watu wengine waliohusika kutoroka na sasa wanatafutwa.
View attachment 3247576
Siku hizi pia licha ya kutoa mapepo kwa bakora kwa wanawake yanotolewa na miti. Piga na kutandaza miti balaa hasa wake za watu piga miti hadi mapepo yote yatoke.Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Tuko, tukio hilo limetokea kwenye Kanisa la Betheli katika eneo la Kapkwen, Kaunti ya Bomet nchini Kenya ambapo katika kuwatoa mapepo wachafu waumini hao, mchungaji aliwatandika viboko na kushindwa kuvumilia maumivu.
Inaelezwa baada ya uchungu wa viboko kuzidi wanawake hao walikimbia na kwenda kutoa taarifa polisi, huku mchungaji huyo na watu wengine waliohusika kutoroka na sasa wanatafutwa.
View attachment 3247576
Umbwaaaa. KengeeeSiku hizi pia licha ya kutoa mapepo kwa bakora kwa wanawake yanotolewa na miti. Piga na kutandaza miti balaa hasa wake za watu piga miti hadi mapepo yote yatoke.
No MERCY when it comes to beat trees to remove demons
Chaliifrancisco
Nyau de adriz
Wamekumiss mbusii mwenzao
HahahaWamekumiss mbusii mwenzao
Kuna ostaz niliwah muuliza hili swali,akanijibu eti kwasababu wanawake ni wasafi sanaKwa nn ni wanawake tu ? Hayo mapepo yanapenda wanawake kuliko wanaume.
Sina uhakika ,ila kuna mmoja alikuwa na mapepo kama hayo kumbe analazimisha mambo ,yaani kuna jamaa alikuwa anamchanganya mpaka shule hataki anataka kuoelewa...Alipoolewa yakaisha kabisa maana alikuwa analazimisha ,alilipiwa chuo hakwenda kabisa .Kuna ostaz niliwah muuliza hili swali,akanijibu eti kwasababu wanawake ni wasafi sana