Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #201
Hazard akiongea basii kamalizaHaya sasa TBS mwenyewe umeongea
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]List matata sana imezingatia kila sifa..
Kuna chura za ukweli hapo
Kuna mitindi ya maana hapo
Kuna miguu ya ukweli
Kuna rangi za hatarii hapo
Zamani ilikuwa unakutana na mtoto JF kweli worthy your effortsSasa hivi ndio classic zamani ilikuwa hakuna kitu [emoji6]
[emoji23] [emoji85] [emoji85]List matata sana imezingatia kila sifa..
Kuna chura za ukweli hapo
Kuna mitindi ya maana hapo
Kuna miguu ya ukweli
Kuna rangi za hatarii hapo
Heeeee mama sabrina vipi tenaUmenenepa mashaalah ,siku hizi upo wapi
Ya kale hayanukiZamani ilikuwa unakutana na mtoto JF kweli worthy your efforts
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kile cha yusuphhhh au kile cha pruuu[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 1 kush umenichekesha mpaka nimejamba
Siku izi naona kuna generation mpya.
Jomoniiii kumbe namm sivumi tuu lakini nimoo...mashAllah Mama S ahsante kwa maono yako[emoji38]Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata wakiandika A wengine wanabisha wanasema E,
Wamejaaliwa kila kitu kwa urembo usipotazama lazima unase uhame kwenu au kwako [emoji10][emoji10]
Hutaki unaweza lamba koni hatukulazimishi
Haya list hii hapa
Zahra white
Shunie
Yna4
Mzigua
Mama sabrina
Mambembe
Demiss
Mumu
Zechchriss
Mbitiyaza
Raynavero
Happiness
Nahuja
Money penny
Phoenix
Kritika
Wengine tajeni na nyie mmalizie list ni ndefu sana ya warembo hapa jf
Ya chura yamepita, njoo ukojoe basiiii, aah,
Aah! Sio huku bwanaa,
Njoo kuleee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo sura naijua vyema tuHeeeee mama sabrina vipi tena
Gile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanga hatuiti kukojoa tunaitaYa chura yamepita, njoo ukojoe basiiii, aah,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna Gile wawili mkuu. Gile wowowo au Gile yule mwingine?
Gile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gile jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna Gile wawili mkuu. Gile wowowo au Gile yule mwingine?
huna macho, anakosaje mtoto huyo ana machozi ya asali akilia utatamani umlambe macho [emoji23]Jomoni mumu pia awekwe
Maana ana figure ya kizigua