Sijaacha ila sitaki kumdanganya [emoji23][emoji23]Unajipotezea fursa mdangaji wewe au umestaaafu kudangaa?!
Hahahaaa. Ile ya kwanza ni mimi kweli ila hii hapanaLakni avatar ya kwanza ili reflect hivyo kuwa una uweupe fulani hivi so nikifanya comparison na hii picha ni wewe.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nampata vilivyo....
Pole sana mkuu...ilikua je kwani?Jf sijawahi kuona mwanamke mzuri labda uzuri wa kujichubua tu ila wa roho hawana tena wana roho mbaya sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] usiombe mkuu we angalia wanavyojisifia tuPole sana mkuu...ilikua je kwani?
Endelea kuamini hivyo hivyo mkuu, inapunguza maumivu.Jf sijawahi kuona mwanamke mzuri labda uzuri wa kujichubua tu ila wa roho hawana tena wana roho mbaya sana
Pole sanaJf sijawahi kuona mwanamke mzuri labda uzuri wa kujichubua tu ila wa roho hawana tena wana roho mbaya sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nampata vilivyo....
Kaaaah[emoji23] [emoji23]Sijaacha ila sitaki kumdanganya [emoji23][emoji23]
Hahaha natamani kuchangia jambo ila acha nipite tu, mzigua ujue Mungu anakuona, ukweli ukidhiiri si vibaya kuuweka bayanaHahahaaa. Ile ya kwanza ni mimi kweli ila hii hapana
Aweeeeeee.Mzigua ananikosha zaidi
Jirani changia tuuHahaha natamani kuchangia jambo ila acha nipite tu, mzigua ujue Mungu anakuona, ukweli ukidhiiri si vibaya kuuweka bayana