Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #381
Ngoja akuje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja akuje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaanza kusema "yaan mimi kweli mama sab wa kunifanyia hivii"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jomoniii acheni kunifanyia hivyo mwenzako nipo jela nishazoea kuswampa,bora j4 niondoke nimechokaaa
Bora tumueke ya mchana huyuTutakufikiria ratiba ya jioni, hii ya mchana ni ya kifamilia.
HaiwezekaniAhahhahaha sawa naomba na mimi niwe mwenyeweee tu familia ibaki nyumbani
NimeshakataaNgoja akuje
Nitakua wa mwisho kuamini.....[emoji4] [emoji4]Hiyo avatar si mimi mkuu
Mara ya kwanza ungeniona hadi machozi yalinilenga lenga nilivyosikia sheria za hapa mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafaaa eti?Mama Sabrina si ungejiweka wa kwanza kwenye list!
Money Penny yuko wapi siku hizi?
Heee kwan venye Don yuko kaka wale napendaga mimiHaiwezekani
SanaaNafaaa eti?
Hahahahaah siku unakutana na mama sabrina unashangaa machozi yanakutoka automatic na kusema nini hiki
Naomba uwe wa kwanza kabisaNitakua wa mwisho kuamini.....[emoji4] [emoji4]
Hao wamenizidi mwayaSanaa
Pole sana. Mimi kama wangekuwa wanaruhusu kunywea ndani ningekua nashinda chumbani kabisaMara ya kwanza ungeniona hadi machozi yalinilenga lenga nilivyosikia sheria za hapa mwee
Hairuhusiwi na hawajui kama natumiaga yaan ukiniona hapa muislam swafiii[emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana. Mimi kama wangekuwa wanaruhusu kunywea ndani ningekua nashinda chumbani kabisa
Jikubali kwanza!Hao wamenizidi mwaya