UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
List bla Evelyn Salt na madame B lazima itakuwa fake kama news za makamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am sure ww pekee ndio hujatoa rushwa kuweka kwenye list hii. U deserve babe, wewe ni aina ya mwanamke kila mwanaume anatamani kuwa nae. I am happy to have you in my life, hold up and trust the move.! I Love U.[emoji173][emoji173]Yiiih. Kumbe na mie mzuri eeh. Ngoja nianze kuringa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I love you too babe.Am sure ww pekee ndio hujatoa rushwa kuweka kwenye list hii. U deserve babe, wewe ni aina ya mwanamke kila mwanaume anatamani kuwa nae. I am happy to have you in my life, hold up and trust the move.! I Love U.[emoji173][emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nasemajeee tutakimbiana sikuVita kati ya reality na expectation. Assuption hii
Basi Mama Sabrina atajifanya hajaiona hiiWekeni picha zao tuwaone
Kati ya hawa wote ni yupi anafaa kuwa mke?Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata wakiandika A wengine wanabisha wanasema E,
Wamejaaliwa kila kitu kwa urembo usipotazama lazima unase uhame kwenu au kwako [emoji10][emoji10]
Hutaki unaweza lamba koni hatukulazimishi
Haya list hii hapa
Zahra white
Shunie
Yna4
Mzigua
Mama sabrina
Mambembe
Demiss
Mumu
Zechchriss
Mbitiyaza
Raynavero
Happiness
Nahuja
Money penny
Phoenix
Kritika
Madame B
Evelyn salt
Demi
Wengine tajeni na nyie mmalizie list ni ndefu sana ya warembo hapa jf
Jf yote wanawake wote ni warembo haswa, wana chura kubwa wote, home mambo safi,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nasemajeee tutakimbiana siku
Mchumba twende lunch baadaeBasi Mama Sabrina atajifanya hajaiona hii
Sawa mchumba. Wapi twende??Mchumba twende lunch baadae
Khaaah
We si ulinikataa?Khaaah
Sitaki mtu gani una maex wengi hivyoWe si ulinikataa?
Sasa si afadhali mwenye maex kuliko mwenye michepuko? Au?Sitaki mtu gani una maex wengi hivyo