Wanawake wazuri JF nzima

Wanawake wazuri JF nzima

Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata wakiandika A wengine wanabisha wanasema E,
Wamejaaliwa kila kitu kwa urembo usipotazama lazima unase uhame kwenu au kwako [emoji10][emoji10]
Hutaki unaweza lamba koni hatukulazimishi
Haya list hii hapa
Zahra white
Shunie
Yna4
Mzigua
Mama sabrina
Mambembe
Demiss
Mumu
Mbitiyaza
Raynavero
Happiness
Nahuja
Money penny
Phoenix
Kritika

Wengine tajeni na nyie mmalizie list ni ndefu sana ya warembo hapa jf
visu vyangu vyote ndani ya mjengo, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,, ningekuwa na madolari nawaoa woteeeee,,

kama mfalme mswat
 
Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata wakiandika A wengine wanabisha wanasema E,
Wamejaaliwa kila kitu kwa urembo usipotazama lazima unase uhame kwenu au kwako [emoji10][emoji10]
Hutaki unaweza lamba koni hatukulazimishi
Haya list hii hapa
Zahra white
Shunie
Yna4
Mzigua
Mama sabrina
Mambembe
Demiss
Mumu
Mbitiyaza
Raynavero
Happiness
Nahuja
Money penny
Phoenix
Kritika

Wengine tajeni na nyie mmalizie list ni ndefu sana ya warembo hapa jf
Namtaka mmoja hapo mama Saby, nchagulie[emoji11]
 
Mama sabriiiiiinaaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbitiyaza alikua anatumia avatar og muda fulani sibishi sana.

Nahuja nishamuona sibishi sana.

Shunie hii avatar ya sasa hivi kaicrop crop, ikiwa full nilishaiona sibishi sana.

Nyinyi wengine lambeni koni kama ulivyotuchimba mkwara
 
Back
Top Bottom