Wanawake wazuri JF nzima

Wanawake wazuri JF nzima

Jf sijawahi kuona mwanamke mzuri labda uzuri wa kujichubua tu ila wa roho hawana tena wana roho mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanin tuna roho mbayaa tumekufanya nini
 
Hawa hata wakikohoa tu wanakohoa asali na maziwa ni wazuri ,wananukia ,wanapendeza wanaongoza kwa kutumiwa pm kuliko wanawake wengine wote jf,wanapenda kufatiliwa zaidi kuliko wote humu,hata wakiandika A wengine wanabisha wanasema E,
Wamejaaliwa kila kitu kwa urembo usipotazama lazima unase uhame kwenu au kwako [emoji10][emoji10]
Hutaki unaweza lamba koni hatukulazimishi
Haya list hii hapa
Zahra white
Shunie
Yna4
Mzigua
Mama sabrina
Mambembe
Demiss
Mumu
Zechchriss
Mbitiyaza
Raynavero
Happiness
Nahuja
Money penny
Phoenix
Kritika
Madame B
Evelyn salt
Demi


Wengine tajeni na nyie mmalizie list ni ndefu sana ya warembo hapa jf
MAMA SABRINA -U DESERVE.

KITAMBO SANA[emoji6]
 
Back
Top Bottom