Wanawake wazuri kwa sasa tuwaachie waabudu shetani

Wanawake wazuri kwa sasa tuwaachie waabudu shetani

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kutokana na hali ya tamaa kubwa ya fedha ,mafanikio na kuishi maisha ya kifahari,suala la kuwa na mke au mpenzi mzuri na akaridhika linaonekana kama haliwezekani kabisa katika nchi yetu hii.

Nilivyoona aliyekuwa mke wa Ricardo Momo (sijiu iwapo nimepatia jina lake) ameachana na jamaa na anasema amekwisha move on,niliamua kukubali hili suala la mapenzi kwa sasa na hawa viumbe wazuri,tuwaachie waabudu shetani.

Waabudu shetani hawaogopi, wana hela iwe za damu, wizi ama dhulma. Hawaogopi kufanya mapenzi ya kisodoma. Hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kuwatumia wadada wa kila namna kujiridhisha nafsi zao.Wanahonga chochote kwa mwanamke mzuri.Haya yote ndio wanawake wazuri wote wanaota kuyapata.

Na wanawake huwaheshimu sana wanaume wakorofi na wahuni, mfano hawa waabudu shetani huwezi kukuta anachukiwa na mwanamke labda tu kama ameletewa chuma kingine. Wengine wana hofu akizingua tu anatolewa kafara.

Wapo wanasiasa,wafanyabiashara na baadhi ya wasanii ndio magwiji.

Vita ni kali sana ni wakati wa kuwaachia waabudu shetani hawa wanawake wazuri au tukubali watusaidie kuwatunza huku tukijidanganya eti tunapambana. Ila ni bora tupambane kupata maisha bora kuliko kupambania mwanamke mrembo.
 
Kutokana na hali ya tamaa kubwa ya fedha ,mafanikio na kuishi maisha ya kifahari,suala la kuwa na mke au mpenzi mzuri na akaridhika linaonekana kama haliwezekani kabisa katika nchi yetu hii.

Nilivyoona aliyekuwa mke wa Ricardo Momo ( sijiu iwapo nimepatia jina lake) ameachana na jamaa na anasema amekwisha move on,niliamua kukubali hili suala la mapenzi kwa sasa na hawa viumbe wazuri,tuwaachie waabudu shetani.

Waabudu shetani hawaogopi,wana hela iwe za damu,wizi ama dhulma.Hawaogopi kufanya mapenzi ya kisodoma.Hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kuwatumia wadada wa kila namna kujiridhisha nafsi zao.Wanahonga chochote kwa mwanamke mzuri.Haya yote ndio wanawake wazuri wote wanaota kuyapata. Na wanawake huwaheshimu sana wanaume wakorofi na wahuni,mfano hawa waabudu shetani huwezi kukuta anachukiwa na mwanamke labda tu kama ameletewa chuma kingine. Wengine wana hofu akizingua tu anatolewa kafara.

Wapo wanasiasa,wafanyabiashara na baadhi ya wasanii ndio magwiji.

Vita ni kali sana ni wakati wa kuwaachia waabudu shetani hawa wanawake wazuri au tukubali watusaidie kuwatunza huku tukijidanganya eti tunapambana.Ila ni bora tupambane kupata maisha bora kuliko kupambania mwanamke mrembo
kweli man!!!! ukitaka usikie sauti ya adhana kichwani wakati sio wakati wake,kaishi na mwanamke mzuri!!!!...
 
Back
Top Bottom