Wanawake wazuri na vibweka vyao!

Kaunga,nani sasa wa kumhamasisha mwenzie? nyumba nijenge mimi,gari nikununulie mimi,shopping mariedo bill kwangu,dhahabu unique jewellers nanunua mie ,saloon ya bei mbaya nalipia mimi....jamani hata mahanjam nikupe mie? lol haki iko wapi hapo?
 
I like msimamo wako..... Bishanga wanaume wengine waoga kweli wa Intelligent women... Intelligent women mara nyingi hukosa wanaume if she really opens up yale ambayo she knows..... sad.
tatizo la kuishi na mwenza mnayepishana sana mentally ni kwamba hata mwono wenu kimaisha utakuwa tofauti sana na mwisho kila mmoja wenu atakuwa anaishi dunia yake.
 
Kaunga,nani sasa wa kumhamasisha mwenzie? nyumba nijenge mimi,gari nikununulie mimi,shopping mariedo bill kwangu,dhahabu unique jewellers nanunua mie ,saloon ya bei mbaya nalipia mimi....jamani hata mahanjam nikupe mie? lol haki iko wapi hapo?
<br />
<br />

Ha ha ha; umenikumbusha story ya mmasai na mmakonde!
Kama huajapata; mmasai alimchukua Dada wa kimakonde, binti alivyokuwa anajituma kitandani mmasai akaja juu why mmakonde nat..mba yeye wakati bia, nyama choma kanunua yeye na rum kalipia yeye so mmakonde aache kumzungurusha ka feni! LOL
 
hahahahaha... turria we acha kusungusha sungusha,kaa fisuri mguu pande,sikilizia sasa risasi hiyo inakucha.......
 
uzuri uliozungumzia hapo kwa kiasi kikubwa umebase ktk umbo la nje! Kumbuka si vyema kufanya argument kwa kutumia kigezo kimoja, madhara yake ni makubwa kwani utakuwa criticized vya kutosha na ucpokua makini utapoteza mwelekeo wa hoja yako! Kwa upande wangu wanawake wazuri nawapima kwa tabia zao, nawapima kwa jinsi wanavyo behave kwa watu wa rika zote. Kifupi nawaheshimu sana wanawake wanaojithamini, jiheshimu na wanaojitambua!
 
hawaolewi sababu ya tamaa ya vitu viodogo vidogo.mia
 

Rudia kusoma aya ya kwanza hujaelewa wewe....... umekimbilia tu kutoa maoni.................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…