Wanawake wazuri na wenye makalio makubwa wamekua daraja la kuangamiza taasisi ya ndoa

Hivi kluger huwa inatamkwa vipi mkuu embu fanya kama unaipronounce kwa lugha yetu ya kibongobongo
 
🀣🀣🀣🀣 Aisee bora nichanwe wallet lakini kumiliki pisi kali muhimu mzee yaani full confidence jamani. Sasa wee wanawake unapishana nao 10, kati ya hao 6 sita wamemzidi mkeo uzuri huo sii ujinga. Inapaswa wanawake 2000 aliomzidinuzuri mkeo ni mmoja tuu.

Ila ukweli ni kwamba wanawake wazuri ndalama muhimu kama huna hela wee tulizana na mpenzi revola
 
Ni kawaida sana kuongea hivyo hata mimi kuna umri nilifikiri sawa na wewe ila baada ya kuwajua wanawake vizuri nimetia displini
 
Mpnzi revola [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani blaza mitako mikubwa ndio ikutoe kwenye reli kweli?labda kama bado ni teeneger
 
Ni kawaida sana kuongea hivyo hata mimi kuna umri nilifikiri sawa na wewe ila baada ya kuwajua wanawake vizuri nimetia displini
Mbona wanawake wanajulikana vizuri tuu. Wee kaa ukijua yafuatayo kuhusu women.
1) most selfish creature known to mankind
2) always wants to have money so she can get rid of men on this earth...unfortunately for them its a mans world
3) their mbususu is many a man's downfall.

So u have been warned.
 
Pisi kali ni pisi kali tuu.. nyie wazee wetu mlikua mnazikwepa acha kujitetea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…