Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kama wewe hizi ndio type yako tena weupee halafu unatoa wallet yote inaisha wanasepa akaWanawake wazuri ni kwa disposable usage. Ukitaka kumiliki permanently jiandae kuchanwa wallet na moyo.
Imagine tu kwa wapenzi wa magari mazuri hivi ni nani hapendi range rover? Ila akitafakari gharama ya kulihudumia ili liendelee kuwa katika ubora wake siku zote anaona atashindwa tu anaangukia kwenye Kluger dume tu 😂.
Moral of the story, vizuri vinapendwa na wengi tatizo vinakuja na gharama kubwa. Unaweza ukakodi range rover ukalitumia kwa muda mchache kisha ukalirudisha ambayo ni nafuu zaidi.