Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kama wewe hizi ndio type yako tena weupee halafu unatoa wallet yote inaisha wanasepa akaWanawake wazuri ni kwa disposable usage. Ukitaka kumiliki permanently jiandae kuchanwa wallet na moyo.
Imagine tu kwa wapenzi wa magari mazuri hivi ni nani hapendi range rover? Ila akitafakari gharama ya kulihudumia ili liendelee kuwa katika ubora wake siku zote anaona atashindwa tu anaangukia kwenye Kluger dume tu 😂.
Moral of the story, vizuri vinapendwa na wengi tatizo vinakuja na gharama kubwa. Unaweza ukakodi range rover ukalitumia kwa muda mchache kisha ukalirudisha ambayo ni nafuu zaidi.
Hold on.. 😂😂Sawa baby girl ila nitafute private nikakuonyeshe ninapo andikia
Hahahah hapana mi sipendi weupe napenda weusi weusiKama wewe hizi ndio type yako tena weupee halafu unatoa wallet yote inaisha wanasepa aka
Si wale kahawiaHahahah hapana mi sipendi weupe napenda weusi weusi
Eeh wahSi wale kahawia
Je yule bibie wa harrier hajambo lakini??Eeh wah
harrier gani tenaJe yule bibie wa harrier hajambo lakini??
Kumbe siyo klaga wala klugaKuLuGA
Kuna mambo yanafurahisha sana...Tamaa/ kucheat ni tabia ya mtu
Yanafurahisha Mnoo yaniKuna mambo yanafurahisha sana...
Wamejaa tuMaisha ni kupambana mwaka 2024 lazma nipate na mimi mwanamke mwenyewe matako makubwa mweupe hivi😂😂😂
🤣🤣🤣BabuNaona chama cha Kataa ndoa kimepata Katibu Mwenezi
Good Job Young Man
Ila ukae ukijua Ndoa zipo na zitaendelea kuwepo
🤣🤣🤣🙌🤝Nimeishia hapo uliposema baba zenu hatukuoa pisi kali.
Wewe kijana wake zetu walikuwa pisi kali sana sema life style ilikuwa inafubaza sura zao. Hata hao unaowaona ni pisi kali ebu washindishe kwenye majaruba wakipanda mpunga uone kama wataendelea kuwa na upisi uuonao hivi leo.
Siku hizi pisi na umbo halisi la mwanamke linaoneka kwa wingi kutokana na kupungua kwa kwazi zitumizo nguvu nyingi.
Ww mwanamke anshinda ameinama kupanda mpunga mrundikano wa mafuta matakoni utoke wapi!!!?
🤝🤣 Na huu ndo ukweliWanawake wazuri ni kwa disposable usage. Ukitaka kumiliki permanently jiandae kuchanwa wallet na moyo.