Wanawake wazuri na wenye makalio makubwa wamekua daraja la kuangamiza taasisi ya ndoa

Nimechekaaa kwa sautii😄😄😄😄😄
 
Hii imenivutia nakuja baadae kuchangia, wacha nisabuskraibu kwanza
 
Mtoa mada ni kama ulikuwa unatembea kwenye akili yangu, nilikuwa nataka kuandika mada inayofanana na hii lakini umeniwahi, cha kuongezea ni haya yafuatayo.
Huu mwaka nimeuanza nikiwa na malengo yafuatayo.
1. Kwanza kabisa nitahakikisha natumia nguvu kubwa sana kutafuta pesa kwa sababu vitu vizuri huwezi kuvipata bila pesa
2. Nitahakikisha nikitaka kuoa lazima nitafute demu ninaemuhusudu wa ndoto zangu ili nifurahie maisha kwa sababu hata ukioa demu mbaya Gharama zinaweza kuwa ndogo lakini bado wewe mwanaume utalazimika kulipia sasa iweje ujibanebane kwa viswaswadu wakati smart phone kali zipo mtaani zimejaziana ni kisu chako tu kiwe Kikali.
3. Hata kama demu mzuri atapigwa nje labda nisijue lakini nikijua nitatafuta pisi kali nyengine sitojaribu kufuga nyoka abadani, pisi kali zipo za kutosha tafuta hela tu enjoy maisha usijipe stress wala kujinyima maisha mazuri kufuga mademu usiovutiwa nao kisa tu ubahili. Nimemaliza
 
Achana na kluger tafadhali maana ndo tunavimba nazo mjini hahaha
 
Halafu sijui matumizi ya matako makubwa ni nini?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Hivi unauliza matumizi yake huyajui au wewe unaishi porini?
Hivi huwaoni wanawake wenye mizigo wanavyoitingisha mitaani?
Moja ya sifa ya pisi kali sio uzuri wa sura na umbo tu, kichocheo kikubwa kwenye uzuri wake ni kujua kutembea huku anatingisha maini, kama wewe ni pisi kali na unatembea bila kutingishs maini iwe unayo makubwa au madogo Sisi mabazazi tunakuona mshamba tu kwa sababu mjini uwe pisi kali au mwajuma ndala ndefu lazima utikise maini ndiyo sheria ya mjini kama hujui, kama hutingishi hata salamu hatukupi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…