Wanawake wazuri na wenye makalio makubwa wamekua daraja la kuangamiza taasisi ya ndoa

Tatizo ni wanandoa wenyewe… ala usilaumu anybody else

Ndoa siku hizi hazina upendo because purpose ya marriage imekua kutick boxes badala ya upendo
Wanandoa wakiwa tatizo la pili ila tatizo la kwanza linaanza na wewe muoaji ni unaye muoa ni wa ndoto zako , mzuri , tako lipo , je tabia zake zipoje unawezana nazo au laha hasha au umeoa tuu mwanamke wa kawaida kwa sababu unakwepa mademu wa kali pasi na kutambua huwezi kwepa pisi kali hata iwaje huko njiani na katika majukumu yetu ya kila siku.
 
Kwanini mnatusaliti na kuoa?... Si tulisema KATAA NDOA nyie mkatuxunguka mkaoa wakutumia hela zenu.
 
Akili zikihamia kwenye makalio kweli kutakua na maendeleo katika jamii. Kila mijadala humu ni hayo tu!!
 
Nashukuru Mungu🙏
Heri ya mwaka mpya kwako pia babu
Tunashuku tumevuka salama ...

Kuna mzigo Bibi yako alikutumia, uliuona? Waulize walinzi kwenye ofisi ya Waziri Mkuu ndiyo walikabidhiwa wakufikishie 🤗
 
Tunashuku tumevuka salama ...

Kuna mzigo Bibi yako alikutumia, uliuona? Waulize walinzi kwenye ofisi ya Waziri Mkuu ndiyo walikabidhiwa wakufikishie 🤗
🤣🤣🤣Usije acha watu wamifuate pm wakajua Niko ofisi kubwa kumbe jobless hapq
 
Uzinifu huanza na mwanamke...Acha waendelea kuvunja ndoa.....

Kuoa mwanamke mwenye makalio makubwa na chuchu saa sita ni kujipa tatizo la shinikizo la damu.....acha tuoe hawa viswaswadu
 
Mimi ni mpenzi wa wanawake wembamba.Wanene watajijua wenyewe.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…