Wanawake wazuri wote tumeumbiwa sisi wanaume, kwanini ujifunge na kwenda kuoa mwanamke mbaya?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wanaume wenzangu mnatakiwa mtambue kwamba kuwa na mwanamke siyo kosa ila kuwa na mwanamke mbaya asiye kidhi vigezo vyako ni kosa lako mwenyewe usilaumu na kutamani wake za wenzako,

Mungu kaumba kila Aina za wanawake kazi ni kwako tu kuchagua yule atakaekufaa,

Kuna msemo wa kwamba hakuna mwanamke mbaya duniani ila mimi leo mr Zero IQ nakwambia kwamba wanawake wabaya wapo na wanaishi,

Unayemuona kwako mzuri basi kwa mwenzako anaweza kuwa mbaya sasa cha kufanya unatakiwa useme na Moyo wako,

Wewe moyo wako unatamani wanawake wenye chura kwa kujivunga unaenda kuoa mwanamke kimbau mbau kweli Tamaa itakuishia, migogoro itaisha kwenye Ndoa?

Moyo ukitaka tipwa tipwa tafuta liweke ndani, ukitaka mwenye chura kama snura tafuta Vuta weka ndani, ukitaka slim kama miss wema wa 2006 tafuta vuta weka ndani,

Ya nini udhulumu Nafsi yako.

CC Zero IQ
 
Hilo nalo neno, unaoa mke ambae hata kumwangalia usoni unajishauri[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Money talks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena maneno kuntu sana. Oa kitu roho inapenda hata ukipita barabaran uakaona kisu kingine moyo wenyewe unakushuhudia kabiasa kwamba huyu ni mzuri ila wife mungu aliumba yan hisia zina ji neutralize zenyewe.
Unakuta mtu kaoa hadi unajiuliza hivi huyu hakuana wanawake hapa dunian hadi anaoa kiumbe kinafanana na mwanamke.
Badiliken bana mlio oa wanaweke kiasi yakwamba hamuwezi hata kutangulizana mnaenda kanisani.

[emoji375][emoji375]
 
Nakukatalia mkuu hilo wazo lako.
Siyo sasa 5imba akikosa nyama hula manyasi. Endelea kuwinda.

[emoji375][emoji375]
[emoji3][emoji3] au ndio ule msemo wa 5imba akiko5a nyama ata majani anakula

CC Zero IQ
 
Unadhani watu hawapendi kuoa wanawake wazuri mkuu...shida ni kuwa mwanaume unatongoza wanawake wazuri, hlf unakataliwa..sasa MTU inabidi uoe unachoweza kupata Zero IQ
[emoji3][emoji3][emoji3] Endelea kutongoza mpaka upate mzuri mkuu

CC Zero IQ
 
wanawake wanaostahimili mikiki ya ndoa ktk kila hali ni hawa wabaya, kuishi ktk ndoa na mwanamke mzuri inahitaji kipaji kikubwa mno, ndio maana wanawake walio wengi wazuri wamejaa mitaani bila ndoa, ila wabaya ndio wapo ktk ndoa.. kwanza mwanamke mwenye sura mbaya anauvumilivu wa hali ya juu ktk ndoa kuliko!!

OA MBAYA KUWA NA MCHEPUKO MZURI

Haya mawazo cjui nan aliwaaminisha jamn. Wazuri ndo wa koa

[emoji375][emoji375]
 
Pesa inabadili muonekano wa mtu inakufanya unang'ara, unanawiri hakuna kitu kibaya ni vile ww unajipenda na kutaka uwe vp, unaweza kukosa sura nzuri lakini ukajiremba ukamvutia kila mtu, unaweza kukosa sura nzuri ukaushepu mwili wako kila mtu akakutamani usishindwe kwa kila kitu kosa sura tengeneza body huna body tengeneza reception maana kuna wanawake WaPo flati nyuma lkni usoni mashallah. Siyo mtu sura mbaya alafu umenenepeana mwili mzima kma bumunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mawazo cjui nan aliwaaminisha jamn. Wazuri ndo wa koa

[emoji375][emoji375]
wanawake wazuri huringia uzuri wao.. tena wakipita mtaani wakasikia ile mirusi ya wanaume ya psii psii, ndio kabisaaa wanapatwa na vibumbuwazi, huwez kumuelezea kitu, huwez sema leo sina hela ya chakula wala ya mapodozi akakuelewa wakati huo. njiani kuna offer za mikuku zinamsubiria.. me naamin mwanamke mbaya ndie mjengaji, ila mwanamke mzuri ni mbomoaji, ukiona mwanamke mzuri katulia ktk ndoa jua ana umri zaidi ya 30+, na ashavunja ndoa si chini ya 5+ ...

Sio kweli mkuu na si wote wako hvyo kama unenavyo japo kwa asilimia kadhaa kuna ukweli

[emoji375][emoji375]
 
Back
Top Bottom