HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
Ninashida moja kila mwanamke nitakayemuona nimzuri na anamvuto kwangu naambiwa tayari alikwisha kuolewa au amechumbiwa..
Najiuliza kwa hiyo wanawake wabaya wote ndiyo hawajaolewa au kuchumbiwa?
Tambua hili Kama haujaolewa au kuchumbiwa na wewe nakuweka kwenye group la wanawake wabaya na wasiokuwa na mvuto kwangu..
Teh teh teh!Ina maana umezunguka UDOM, UDSM, IFM, DIT, St Johns, SAUT, CBE nk na kote huko ukakuta wazuri wote wameolewa? Inawezekana unavutiwa sana na wale ambao tayari wana ndoa na ndiyo maana haupati muda wa kukutana na kuvutiwa na wale walio single!
Take care, utaumia.
Mwenyewe unajikubali....kazi nzuri!
Kakangu, usipojifyagilia ukangojea kusifiwa mbona utadoda? Mie ndo king'asti orijinale, ukimuona mwingine ujue mchina kafanya vitu vyake! Lol
Ninashida moja kila mwanamke nitakayemuona nimzuri na anamvuto kwangu naambiwa tayari alikwisha kuolewa au amechumbiwa..
Najiuliza kwa hiyo wanawake wabaya wote ndiyo hawajaolewa au kuchumbiwa?
Tambua hili Kama haujaolewa au kuchumbiwa na wewe nakuweka kwenye group la wanawake wabaya na wasiokuwa na mvuto kwangu..
Kumbe vichaa nao wako jf..!
Nimeshindwa kukuelewa...labda ni hii njaa...
Una matatizo wewe,ndo mana hupati wa kuoa!
Kwa hiyo mimi nilizaliwa accidentally? Lol!
job true true
We kweli dodoso. Kama na wewe huna pesa hao wanawake wazuri utaishia kuwaona kwenye tv
Hehehehee shughuli ni watu haki ya Mungu!
Teh teh teh!
Huyu kweli anaonekana anamendea wake za watu...ni sumu,shauri yako..
Tengeneza na wewe wa kwako, kwani gharama yake na kero ni kubwa maana nywele tu zaidi ya 20,000/= kwa wiki bado make-up na gari analoendesha mafuta yake usiweke halafu ww unataka kuja kuvua chupi ya malaki, na ujue zote zinafanana utamaliza mabucha ya nyama na nyama ni ileile
Na wanaume wazuri wote wameoa
Itabidi ufanye booking azaliwe wako pekee
:spy:Unajua kwanini unaowatamani wote wameolewa au wamechumbiwa??? ni kwasababu wanahudumiwa. Tafuta wako umuhudumie na ukalishe ma.ako chini.
The old adage goes '''Beauty is in the eye of the Beholder''.
Beauty is in the eye of the Beer Holder