Wanawake wazuri wote wameolewa..

Wanawake wazuri wote wameolewa..

...Subiri waachike inadaiwa ndoa za siku hizi si kama zile za mwaka 47...hazidumu.

 
Last edited by a moderator:
Hata Bi Kidude alikua Sister Du...Tafakari!
 
yaani kama sijaolewa unaniona mbaya je kesho nikiolewa utaniona mzuri??? hivi wewe una tafsiri gani kuhusu uzuri? maana hata hueleweki
 
Awe kama mbwa mwitu anasubiri mkono udondoke...anaweza subiri forever.


...Subiri waachike inadaiwa ndoa za siku hizi si kama zile za mwaka 47...hazidumu.

 
Last edited by a moderator:
teh teh teh ulipima akili yako cku za karibuni? kaa hapo usubiri wanawake wazuri wakufuate
 
Back
Top Bottom