Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

Wanachelewa sana kufika, wakati unamuandaa mwanamke mzuka uumpande mpaka aanze kuwewesuke we huku goli la kwanza lishandondoka nje ya neti. Yaa nini kudodosha goli nje wakati njia ipo wazi kutumbikiza kete uachie goli ndani? Mwanamke ndio anapaswa kujiandaa mwenyewe hata kabla hajavua nguo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shida zote za nini? Wata jijuwa wenyewe bana. Yani Kila siku umfikishe kileleni? Kama hujakonda Kama chidi benzi niite mbwa.
 
Ni ukweli usiopingika wanawake karibia asilimia themanini (80%) hawafiki kileleni kwa kuingiza dushe,,utakuta watu wanasema mpelekee moto hata nusu saa huwa mnajidanganya tu

Kuna maandizi ya pre match, anahitaji maneno matamu ya mapenzi,maneno ambayo yata uyeyusha moyo wake,maneno ambayo yatamfanya aanze mwenyewe kulowa

Nenda next step bado akiwa na pant touch her very nicely hapa manyunyu yataanza kuanguka,,huku unamwambia how beautiful she is, mwambie maneno matamu ambayo yatamfanya apoteze fahamu za dunia hii na kuwa dunia nyingine

Kinachofuatia usiende kwenye g spot moja kwa moja,bali vidole vyako vitembee kuzunguka her private part taratibu huku unamsoma sauti yake na moves zake,,pale utakapo muona anarespond vizur hapo cheza napo sana

Kinachofuatia nenda kwenye g spot,,huenda wengi hatujui iko wapi,,ipo kwenye mashavu ya uke uku juu ambako kuna nyasi zetu zilee,,iko kama urefu wa cm2 kutoka juu kwenda chini,,tembeza vidole vyako taratibu hapo,,hiyo ndio sehemu ambayo iko sensitive sana,unaweza muona mwenyewe anaanza kukata viuno,,chezea hapo na kisha shuka chini kwenye tundu la kuingiza dushe huku unamsoma jinsi anavyorespond

Kisha unapanda juu tena na kuweka mkazo hapo kwenye g spot,,ukiwa vizur katika eneo hilo baby wako anaweza fika kileleni hata kabla ya kumuingilia

Step nyingine ambayo haina kukopesha yaani asilimia mia imo ni kueat pussy,,yaan hapa waeza ona macho ya mwanamke yanazunguka kana kwamba anataka kufa,,lkn hafi 😅😅,,,ni hisia za utamu tu zinampagawisha,,hapa asilimia mia anafika,,utahisi misuli ya uke inabana na kuachia hapo ni mlimani tu,ishu ni wataalamu wanasema unaweza pata kansa ya koo

Lakini ukiwa vizuri katika kupita na vidole napo anafika vizuri tu,,,kwahiyo kukaa juu ya kifua dakika arobaini sijui thelathini sio ndio mwanamke atafika kileleni laa uongo,,it's about maneno matamu,good touch hlf unamalizia na dushe yaani hapo ubingwa ni wako

Achana na mkongo,sijui vumbi la nini,wengine sijui mnapaka nini ili muwe na ganzi msimwage haraka hayo ni mateso kwa mwanamke na sana sana mnawatia sugu tu basi

Gracias
Nyie wenye mbwembwe ndio hata sekunde tano hamfiki
 
Kwanini tuchoshane tuwaige mbuzi ng'ombe na kuku hili tendo ni kwa ajili ya uzazi why ukeshe kwenye tundu la mtu
 
Huu ni uchizi sasa, ujipinde umridhishe mwanamke, halafu tena anakusaliti. Kujihangaisha kwako kumridhisha inakuwa kazi bure.
 
Wewe ni mtu wa maana sanaa mkuu kongole kwako, wengine naona wanajifanya ni kama hawajali flani huvi but wanapita kimya kimya kisiri siri wanasoma wanapitia madini. Shukrani mkuu kwa hii shule 🤛
Pamoja chief

Na kuna kitu kimoja nilisahau jana,,kuna kitu unafanya unachukua kiganja chako cha mkono kana kwamba unaufunika utupu wa mwanamke halafu unauchezea taratibu,unaweza ukawa umeufunika toka juu vidole vikawa katika tundu la uke au kuufunika toka chini vidole vikawa juu huku kwenye kisimi/clitoris

Kama mwanamke wako hana aibu waeza muuliza je nivibrate haraka haraka au taratibu,,lkn hata asiposema ni juu yako wewe kumsoma jinsi anavyo react

Hata ukila pussy kuna sehemu ulimi ukigusa ima atazidi panua miguu au atakandamiza kichwa chako kwenye pusi kwa maana atataka ulimi uguse sehemu hiyo zaidi

Kikubwa ni kusoma reaction ya kila hatua,,trust me kwa asilimia kubwa hayo maelezo yangu toka awali mwanamke anafika kileleni
 
Back
Top Bottom